Mirathi na Wosia: Utaratibu wa Kufungua, Kusikiliza na Kusimamia Mirathi na Wosia Kisheria Mahakamani (eBook)

Mirathi na Wosia: Utaratibu wa Kufungua, Kusikiliza na Kusimamia Mirathi na Wosia Kisheria Mahakamani (eBook)

Mgongoro Ernest Jonathan
Mgongoro Ernest Jonathan
Prezzo:
€ 6,99
Compra EPUB
Prezzo:
€ 6,99
Compra EPUB

Formato

:
EPUB
Cloud: Scopri di più
Compatibilità: Tutti i dispositivi
Lingua: Swa
Editore: GDY Publications Company Ltd.
Collana: Legal
Codice EAN: 9789987452439
Anno pubblicazione: 2020
Scopri QUI come leggere i tuoi eBook

Note legali

NOTE LEGALI

a) Garanzia legale, Pagamenti, Consegne, Diritto di recesso
b) Informazioni sul prezzo
Il prezzo barrato corrisponde al prezzo di vendita al pubblico al lordo di IVA e al netto delle spese di spedizione
Il prezzo barrato dei libri italiani corrisponde al prezzo di copertina.
I libri in inglese di Libraccio sono di provenienza americana o inglese.
Libraccio riceve quotidianamente i prodotti dagli USA e dalla Gran Bretagna, pagandone i costi di importazione, spedizione in Italia ecc.
Il prezzo in EURO è fissato da Libraccio e, in alcuni casi, può discostarsi leggermente dal cambio dollaro/euro o sterlina/euro del giorno. Il prezzo che pagherai sarà quello in EURO al momento della conferma dell'ordine.
In ogni caso potrai verificare la convenienza dei nostri prezzi rispetto ad altri siti italiani e, in moltissimi casi, anche rispetto all'acquisto su siti americani o inglesi.
c) Disponibilità
I termini relativi alla disponibilità dei prodotti sono indicati nelle Condizioni generali di vendita.

Disponibilità immediata
L'articolo è immediatamente disponibile presso Libraccio e saremo in grado di procedere con la spedizione entro un giorno lavorativo.
Nota: La disponibilità prevista fa riferimento a singole disponibilità.

Disponibile in giorni o settimane (ad es. "3-5-10 giorni", "4-5 settimane" )
L'articolo sarà disponibile entro le tempistiche indicate, necessarie per ricevere l'articolo dai nostri fornitori e preparare la spedizione.
Nota: La disponibilità prevista fa riferimento a singole disponibilità.

Prenotazione libri scolastici
Il servizio ti permette di prenotare libri scolastici nuovi che risultano non disponibili al momento dell'acquisto.

Attualmente non disponibile
L'articolo sarà disponibile ma non sappiamo ancora quando. Inserisci la tua mail dalla scheda prodotto attivando il servizio Libraccio “avvisami” e sarai contattato quando sarà ordinabile.

Difficile reperibilità
Abbiamo dei problemi nel reperire il prodotto. Il fornitore non ci dà informazioni sulla sua reperibilità, ma se desideri comunque effettuare l'ordine, cercheremo di averlo nei tempi indicati. Se non sarà possibile, ti avvertiremo via e-mail e l'ordine verrà cancellato.
Chiudi

Descrizione

Elimu kuhusu utaratibu wa kufungua, kusikiliza na kusimamia mirathi na wosia Tanzania ni muhimu. Umuhimu unaongezwa na migongano katika sheria. Sheria zinaratibu aina tatu za mirathi: ya kimila, kiislamu na ya kiserikali. Sheria na taratibu kwa mfano za mirathi ya kimila au ya kiislamu inaweza kukamilisha mirathi mahakamani lakini ikapingwa kwa kutumia sheria nyingine zinazolinda haki za makundi mbalimbali. Mapungufu haya yamechochea umuhimu wa elimu ya utaratibu wa kisheria wa mirathi na wosia kwa makundi mbalimbali Tanzania. Kitabu hiki kimebainisha sheria zinazohusiana na haki za warithi, taratibu za kupata urithi stahiki, wakfu, haki katika wosia, migongano katika sheria za kimila, kiislamu na za nchi na taratibu za mahakama zinazoweza kurekebisha mapungufu yaliyopo. Kitabu kinatoa mwanga wa namna haki za wahusika mbalimbali katika jamii zinavyolindwa na sheria mbalimbali, taratibu za kudai haki zao, vikwazo wanavyopaswa kuvitarajia, na namna ya kukabiliana na vikwazo hivyo kisheria mahakamani. Kimejengwa kuwa msaada katika kuelezea sheria na taratibu za mirathi na pia katika kubainisha misimamo tofauti ya sheria mbalimbali kuhusu haki za mirathi kwa makundi mbalimbali. Jumla ya sheria 26, kanuni mbalimbali 11 na kesi 40 zimenukuliwa kuwezesha welewa mpana na kamili. Sehemu ya yaliyomo imebeba mada zote muhimu kumrahisishia msomaji kupata haraka kile anachokitafuta. Mazingira tata na migogoro inayojitokeza mara kwa mara vimeongezwa na kuwasilishwa kwa mpangilio sahili kuwezesha msomaji kupata mwanga wa mambo mbalimbali haraka zaidi. Kitabu hiki ni msaada mkubwa kwa wanazuoni, wataalamu wa sheria, waheshimiwa mahakimu na majaji katika ngazi zote, na wananchi wa kawaida. Kitabu, pia, kitaongeza mwanga kwa watunga sera na watunga sheria katika maeneo yanayohitaji maboresho kwa ajili ya kujenga mfumo, sheria na taratibu kamilifu na rafiki zaidi za mirathi na wosia Tanzania.